Nenda Tanganyika Arms Moshi
Kuna fomu utajaza halafu itakwenda ku sainiwa ktkt kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya uliopo.....
then unamilikishwa mkwaju.(manati ya mzungu)
Mkuu ameuliza kanzu na maeneo ameyataja, sasa mambo ya kujaza fomu yanakujaje? Back to the point, kuh. Kinondoni sifahamu kwa kweli lakini ungekuwa na ndugu Zanzibar maeneo ya mlandege kuna kanzu nzuri sana za aina mbalimbali.
Kanzu nzuri zipo aina nyingi tu, wengi kama walivyokushauri uende msikiti wa Mtoro.
Mimi Gozi langu huwa nnamuagizia kanzu za darzi (na kofia za mkono) kutoka Comoros, ni nzuri sana kusema kweli (sema zina bei kali na mpaka uwe na mtu wa kukuletea).