G gayo JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 238 Reaction score 93 Dec 19, 2015 #1 Habari msomaji! Natafuta kanga jike 3-5 wa kufuga. Niko maeneo ya DSM. Yeyote atakaye kuwa nao kuanzia saizi ya kati hadi wakubwa aniPM au ajibu hapa. Nahitaji majike tu!
Habari msomaji! Natafuta kanga jike 3-5 wa kufuga. Niko maeneo ya DSM. Yeyote atakaye kuwa nao kuanzia saizi ya kati hadi wakubwa aniPM au ajibu hapa. Nahitaji majike tu!
N ndaha JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 347 Reaction score 49 Dec 19, 2015 #2 Salaam...mimi ninao wakubwa ila wako Moro.Naweza kukuletea mpaka hapa Dar.Nauza elf 25 kila mmoja
G gayo JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 238 Reaction score 93 Dec 23, 2015 Thread starter #3 Kaka unaweza kuleta lini? Nawahitaji kwa haraka