Natafuta kanda ya ziwa hasa mwanza.

Natafuta kanda ya ziwa hasa mwanza.

Joined
Feb 12, 2013
Posts
18
Reaction score
1
NATAFUTA KAZI YOYOTE INAYOHUSIANA NA HUDUMA KWA JAMII(TEACHING), RESEACH WORKS, HUMAN RESOURCE WORKS, PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT AU MINING ACTIVITIES.

ELIMU YA NI BACHELOR DEGREE OF ARTS WITH EDUCATION WITH MAJOR IN GEOGRAPHY SINCE 2011, PIA NAJUA KUTUMIA COMPUTER KWA KIWANGO KIZURI. UZOEFU WANGU NI MIAKA 2.

MOB: +255 753 750 219/ 714 212 268.

E MAIL: kelly.lwitiko@yahoo.com
 

Attachments

Nakushauri uwe specific kwa kazi moja,maana kwa BAED yako hiyo huwezi kufanya kazi zote ulizotaja.Vinginevyo utaonekana mbabaishaji
 
nimekuelewa kiongozi, lakini tunapo sema BAED sio kwamba tunasema mtu specifically awe mwalimu, ndio maana kuna course zingine tunasoma kwa mfn: Project planning and management, Human resource management and development, natural reources management, Research paper and research methods n.k
 
Back
Top Bottom