Mady boy Member Joined Dec 19, 2023 Posts 5 Reaction score 0 Dec 19, 2023 #1 Msaada jamani Kuna kampuni inaitwa Meridian bit tech from Zanzibar inajihusisha na uuzaji wa baskeli .nilikuwa naomba muongoz kwa anae ifaham. Shukran
Msaada jamani Kuna kampuni inaitwa Meridian bit tech from Zanzibar inajihusisha na uuzaji wa baskeli .nilikuwa naomba muongoz kwa anae ifaham. Shukran
Shangani JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 776 Reaction score 1,095 Dec 19, 2023 #2 Umewakuta Instagram? Kimbia Mbio hakuna kitu hapo nenda ilala au Temeke tafuta baiskeli Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Umewakuta Instagram? Kimbia Mbio hakuna kitu hapo nenda ilala au Temeke tafuta baiskeli Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Adolph Jr JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 6,291 Reaction score 10,191 Dec 19, 2023 #3 Achana nao, usiamini kila unachokisoma
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,378 Reaction score 13,446 Dec 19, 2023 #4 Kama umelipia, umepigwa...ukiona wauzaji wa vitu mtandaoni kwa bei chee alafu wanatokea zanzibar au dodoma..jua unapigwa
Kama umelipia, umepigwa...ukiona wauzaji wa vitu mtandaoni kwa bei chee alafu wanatokea zanzibar au dodoma..jua unapigwa
Mady boy Member Joined Dec 19, 2023 Posts 5 Reaction score 0 Dec 19, 2023 Thread starter #5 Uzalendo Installer said: Kama umelipia, umepigwa...ukiona wauzaji wa vitu mtandaoni kwa bei chee alafu wanatokea zanzibar au dodoma..jua unapigwa Click to expand... Shukran mkuu
Uzalendo Installer said: Kama umelipia, umepigwa...ukiona wauzaji wa vitu mtandaoni kwa bei chee alafu wanatokea zanzibar au dodoma..jua unapigwa Click to expand... Shukran mkuu
A Atwoki JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 754 Reaction score 442 Dec 20, 2023 #6 Uzalendo Installer said: Kama umelipia, umepigwa...ukiona wauzaji wa vitu mtandaoni kwa bei chee alafu wanatokea zanzibar au dodoma..jua unapigwa Click to expand... Kweli nakazia hapo cjui Dodoma, au Zanzibar kua makini , Kuna jamaa wapo Dodoma laptop y milioni wanauza laki mbili yn
Uzalendo Installer said: Kama umelipia, umepigwa...ukiona wauzaji wa vitu mtandaoni kwa bei chee alafu wanatokea zanzibar au dodoma..jua unapigwa Click to expand... Kweli nakazia hapo cjui Dodoma, au Zanzibar kua makini , Kuna jamaa wapo Dodoma laptop y milioni wanauza laki mbili yn
Selemani Sele JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 343 Reaction score 767 Dec 20, 2023 #7 Hiyo baiskeli ni milioni 4
skate-board JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 490 Reaction score 581 Dec 20, 2023 #8 Atwoki said: Kweli nakazia hapo cjui Dodoma, au Zanzibar kua makini , Kuna jamaa wapo Dodoma laptop y milioni wanauza laki mbili yn Click to expand... Umesahau tanga
Atwoki said: Kweli nakazia hapo cjui Dodoma, au Zanzibar kua makini , Kuna jamaa wapo Dodoma laptop y milioni wanauza laki mbili yn Click to expand... Umesahau tanga
A Atwoki JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 754 Reaction score 442 Dec 20, 2023 #9 skate-board said: Umesahau tanga Click to expand... Aah hatr umkn muhm
Nokla JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 3,190 Reaction score 1,780 Dec 21, 2023 #10 Selemani Sele said: Hiyo baiskeli ni milioni 4 Click to expand... Niliiona moja post pale kisutu muhindi anauza laki5
Selemani Sele said: Hiyo baiskeli ni milioni 4 Click to expand... Niliiona moja post pale kisutu muhindi anauza laki5