Natafuta kampani ya kike

Natafuta kampani ya kike

SuperstarD

Member
Joined
Oct 13, 2015
Posts
15
Reaction score
16
Mimi Ni mume wa mtu,mke wangu yupo nje ya nchi kimasomo.

Natafuta mwanamke wa kunipa kampani wakati huu wa upweke mpaka pale wife atakaporudi....

Awe na sifa zifuatazo:

1. Miaka 20 hadi 34
2. Asiwe na malengo ya ndoa na mimi,Nimeishaoa
3. Anayeishi Tanga/Dar/Pwani/Morogoro atapewa kipaumbele
4. Hata mke wa mtu nipo tayari kuwa nae provided haishi na mumewe pamoja.
5.Awe tayari KUPIMA HIV kabla ya chochote,tutapima pamoja popote anapopataka yeye.

Lengo langu Ni kupata kampani ya kudumu mpaka pale wife atakaporudi,basi....

nimeona kuliko kubadilisha wanawake daily,bora niwe na mmoja Tu...ashike nafasi ya wife kwa muda....

Nimeamua kuwa wazi kabisa ili tusije laumiana baadae...

NB. Kama Una malengo ya kuolewa/ndoa usije PM.

Kumbuka kuwa kupima Ukimwi Ni kipaumbele namba moja...

kwa aliye tayari namkaribisha PM..kwa mawasiliano zaidi.
 
We jamaa nimependa Sana ulivoamua kuwa wazi,wapo watakaokubeza lakini kimsingi upo sahihi kabisa.

sio Kila mwanamke anayependa kuolewa,au mwenye malengo ya kuolewa...

wadada changamkieni kampan hii
 
Toba dunia imeisha, yani mtu unavunja amri ya 6 kwa makusudi na waziwazi ,
 
Uko wazi vizuri sana...
lakini naamini na mkeo atapata kampani huko aliko naomba shetani afanikishe hili
 
Mimi Ni mume wa mtu,mke wangu yupo nje ya nchi kimasomo.

Natafuta mwanamke wa kunipa kampani wakati huu wa upweke mpaka pale wife atakaporudi....

Awe na sifa zifuatazo:

1. Miaka 20 hadi 34
2. Asiwe na malengo ya ndoa na mimi,Nimeishaoa
3. Anayeishi Tanga/Dar/Pwani/Morogoro atapewa kipaumbele
4. Hata mke wa mtu nipo tayari kuwa nae provided haishi na mumewe pamoja.
5.Awe tayari KUPIMA HIV kabla ya chochote,tutapima pamoja popote anapopataka yeye.

Lengo langu Ni kupata kampani ya kudumu mpaka pale wife atakaporudi,basi....

nimeona kuliko kubadilisha wanawake daily,bora niwe na mmoja Tu...ashike nafasi ya wife kwa muda....

Nimeamua kuwa wazi kabisa ili tusije laumiana baadae...

NB. Kama Una malengo ya kuolewa/ndoa usije PM.

Kumbuka kuwa kupima Ukimwi Ni kipaumbele namba moja...

kwa aliye tayari namkaribisha PM..kwa mawasiliano zaidi.
Na mkeo huko wanamla
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom