Nchi Kavu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 4,289 Reaction score 2,472 Feb 1, 2019 #1 Wakuu habari. Natafuta hizo kamba kwa bei ya jumla. Zile pana na ngumu ambazo unaweza kuandika na ikasomeka vizuri bila kufutika kirahisi. Rangi ni bluu au nyekundu. Kama inavyoonekana hapo chini. Muuzaji tuwasiliane inbox Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habari. Natafuta hizo kamba kwa bei ya jumla. Zile pana na ngumu ambazo unaweza kuandika na ikasomeka vizuri bila kufutika kirahisi. Rangi ni bluu au nyekundu. Kama inavyoonekana hapo chini. Muuzaji tuwasiliane inbox Sent using Jamii Forums mobile app