Natafuta joining instructions ya Dakawa teachers college

Natafuta joining instructions ya Dakawa teachers college

raoka kubanda

Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
45
Reaction score
24
Jamani mwenye joining instruction za DAKAWA TEACHERS COLLEGE maan dah siwaelewi kabsa jamaa..mpaka post zinatoka ilikuwa nikwamba nisubir mpaka chuo kitakapo wasiliana na mimi...lakin siku zinaenda sijapigiwa simu....wala mawasiliano ya aina yoyote.

Mpaka hivi karibuni nilipoamua kutafuta namba zao.....kisha nikawapigia simu ilipokelewa baada ya siku tatu **3days*** na alipopokea akadai nimtumie email yangu kisha akakata simu...nilituma email yangu lakin mpaka leo hii inakimbilia wiki ya tatu hakuna chochote walichonitumia.

Na nilipo jalbu kuwapigia simu kwa mara nyingine ili niwaulizie....simu haipokelewi mpka kesho... jamani sasa nifanye nn na time ndo inasep knoma.
 
daah hawa jamaa wamenimx knoma...nawapigia cm wananiambia et hawajaion email yangu niliapply vp ss bila kujaza taarf zngu halaf mbay zaid ananiambia et mwisho wa usail n kesho..hii nn ssa
 
Jamani mwenye joining instruction za DAKAWA TEACHERS COLLEGE maan dah siwaelewi kabsa jamaa..mpaka post zinatoka ilikuwa nikwamba nisubir mpaka chuo kitakapo wasiliana na mimi...lakin siku zinaenda sijapigiwa simu....wala mawasiliano ya aina yoyote...,mpaka hivi karibuni nilipoamua kutafuta namba zao.....kisha nikawapigia simu ilipokelewa baada ya siku tatu **3days*** na alipopokea akadai nimtumie email yangu kisha akakata simu...nilituma email yangu lakin mpaka leo hii inakimbilia wiki ya tatu hakuna chochote walichonitumia.... na nilipo jalbu kuwapigia simu kwa mara nyingine ili niwaulizie....cm haipokelewi mpka kesho... jamani sasa nifanye nn na time ndo inasep knoma...
Hata mm nimechaguliwa hapo dakawa, so tutakuwa wote aisee
 
Kati ya vyuo vya Walimu ambavyo vina watu wasiojielewa nahisi hao DAKAWA wanaongoza,
 
Back
Top Bottom