Mo ching's
Member
- Aug 12, 2014
- 30
- 97
Wadau habarini za saa hii,
kuna wimbo fulani nimekua nikiutafuta kwa muda mrefu YouTube bila mafanikio kutokana na kwamba sifahamu jina la wimbo huo ila naifahamu baadhi ya mashairi yake.
Wimbo wenyewe ni wa Kenya.
Baadhi ya mashairi;
"........... watu mingi wanateswa sana, ni sababu ya mapendo"
Kiitikio:
"Njia yote hapa duniani tabu, inapaswa we ujikaze nguvu........."
Msaada tafadhali wadau.