PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
Habari zenu wadau. Natafuta jiko la gesi lenye mtungi mdogo wa gesi(used) kwa tsh25000 iv. Fanya biashara popote ulipo nitajua jinsi gani mpango ufanyike.
Vipi mkuu umelipata hilo jiko?Habari zenu wadau. Natafuta jiko la gesi lenye mtungi mdogo wa gesi(used) kwa tsh25000 iv. Fanya biashara popote ulipo nitajua jinsi gani mpango ufanyike.
Vipi mkuu umelipata hilo jiko?
What if amelipata,unadhani kuna changes ngapi zimetokea within 3 years

Samahani mkuu mimi nilisahau kabisa kuisoma namba ya tarehe husika ya hiyo post pia mnisamehehe wote
Njoo umchukuwe bureee bek 3 hapa jirani yetu " nilimsikia juz akiomba dua Lin atapa MTU amchukuwe kama jiko"Habari zenu wadau. Natafuta jiko la gesi lenye mtungi mdogo wa gesi(used) kwa tsh25000 iv. Fanya biashara popote ulipo nitajua jinsi gani mpango ufanyike.