Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,262 Reaction score 18,711 Jun 22, 2016 #1 Kwa wale wanao uza au anaye jua jezi za mpira wa miguu zinapatikana wapi naomba kujua gharama zake , pamoja jinsi ya kuzipata kwa mtu aliyeko musoma. Nahitaji seti isiwe na nembo yoyote, maandishi nitayaongeza mwenyewe
Kwa wale wanao uza au anaye jua jezi za mpira wa miguu zinapatikana wapi naomba kujua gharama zake , pamoja jinsi ya kuzipata kwa mtu aliyeko musoma. Nahitaji seti isiwe na nembo yoyote, maandishi nitayaongeza mwenyewe
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,197 Jun 22, 2016 #2 mpigie huyu 0754 42 45 90 atakuambia zinapatikana wapi
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,262 Reaction score 18,711 Jun 22, 2016 Thread starter #3 CHIKIRA MTABARI said: mpigie huyu 0754 42 45 90 atakuambia zinapatikana wapi Click to expand... Asante mkuu
CHIKIRA MTABARI said: mpigie huyu 0754 42 45 90 atakuambia zinapatikana wapi Click to expand... Asante mkuu
jisanja JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 1,075 Reaction score 684 Jun 22, 2016 #4 nichek kwa 0674843289
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,262 Reaction score 18,711 Jun 22, 2016 Thread starter #5 jisanja said: nichek kwa 0674843289 Click to expand... Mkuu ukiweza nipm bei pamoja na design ya hizo jezi
jisanja said: nichek kwa 0674843289 Click to expand... Mkuu ukiweza nipm bei pamoja na design ya hizo jezi
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,309 Reaction score 25,084 Jan 23, 2017 #6 Tabutupu said: Kwa wale wanao uza au anaye jua jezi za mpira wa miguu zinapatikana wapi naomba kujua gharama zake , pamoja jinsi ya kuzipata kwa mtu aliyeko musoma. Nahitaji seti isiwe na nembo yoyote, maandishi nitayaongeza mwenyewe Click to expand... Mkuu ulifanikiwa kupata, nami nina shida nahitaji kujua bei kwa seti ni kiasi gani na wapi zinapatikana! Hivyo nisaidie kama ukifanikiwa...
Tabutupu said: Kwa wale wanao uza au anaye jua jezi za mpira wa miguu zinapatikana wapi naomba kujua gharama zake , pamoja jinsi ya kuzipata kwa mtu aliyeko musoma. Nahitaji seti isiwe na nembo yoyote, maandishi nitayaongeza mwenyewe Click to expand... Mkuu ulifanikiwa kupata, nami nina shida nahitaji kujua bei kwa seti ni kiasi gani na wapi zinapatikana! Hivyo nisaidie kama ukifanikiwa...