Nimepoteza iPhone 4 yangu (sijaibiwa).
Na kwa vile ilikuwa imeisha charge nadhani kuipata itakuwa ndoto.
NATAFUTA iPhone (4, 4S, 5) yenye gb 16, 32 au 64).
Simu iwe nzuri na imara (siyo za Kichina) na bei iwe ya kibiashara, siyo mabei makubwa ya ajabu ajabu (unrealistic prices).
Pia nitahitaji msaada wa program ya ku-track simu ikipotea/ ikiibwa.
Call 0763718328