Natafuta Iphone 6S plus 32GB

Harnandez

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
408
344
Nahitaji iPhone 6S plus 32 au hata 64 GB clean as new and in good condition kwa mwenye nayo aje inbox na offer iliyonyooka tumalize biashara

Niko Dar es salaam
 
Kama huna Pesa za Mawazo Unataka iPhone kweli Nenda Mlimani City kuna iStore nenda Msasani/Masaki kuna iStore kule utazipata kwa Rangi ambayo Utaipenda.

Atapasuka msamba huyu kule
6s plus 64 gb second hand yenye good condition hapati less than M 1.3....kama ipo chini ya million sio nzima hyo.

Kule istore atapigwa M 1.7 unataka jamaa aanguke na kifafa nn ??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom