Ninayo,black yenye gb 32,kama vp ni pm
visit "http://www.dalali .co.tz/preview.php?id=103"
mkuu, i phone zapatikana mpaka kwa laki 2 bongo, hebu fanya mchakato upate kitu kipya bila magumashi!
Ipo iphone 4 16 gd nw imeshatumika mwezi umetimia 320000
Ipo na nipo mwanza pia
iphone 4s designed by apple in california assembled in china! unakuwa tofauti na za california? naomben mnijuze!