laki 2 na nusu nyingi mbona? Wapata simu mpyaaaaaaa, skiliza hizi simu nokia s60v3 zifuatazo, nokia e71, nokia n79 nokia e51, nokia n73, nokia e66 zote zaweza patikana zikiwa mpya kwa hio bei na ukitaka kwa mkononi used waeza pata hadi hizo iphone nakushauri kama wataka kitu quality tafuta wakala wa simu unayotaka nunua wapo wengi posta na kkoo