Hansy wa East JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 446 Reaction score 232 Aug 24, 2012 #1 Bandugu natafuta ipad tablet ila cjui bei zake naomba kwa mwenye kujua anisaidia plz
lara 1 JF-Expert Member Joined Jun 10, 2012 Posts 15,700 Reaction score 29,222 Aug 24, 2012 #2 soma post za nyuma utakuta mambo kibao kuhusu ipads na bei zake
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 62,470 Reaction score 111,870 Aug 24, 2012 #3 One million plus.
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 16,481 Reaction score 21,205 Aug 24, 2012 #4 brand new 1.4 ukiwa na mpunga tayari niambie tufanye biashara
Hansy wa East JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 446 Reaction score 232 Aug 24, 2012 Thread starter #5 babukijana said: brand new 1.4 ukiwa na mpunga tayari niambie tufanye biashara Click to expand... natafuka ipad 3 or 2 maana hizo ipad 4 nadhani mkasi wake mkali.
babukijana said: brand new 1.4 ukiwa na mpunga tayari niambie tufanye biashara Click to expand... natafuka ipad 3 or 2 maana hizo ipad 4 nadhani mkasi wake mkali.
Hansy wa East JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 446 Reaction score 232 Aug 24, 2012 Thread starter #6 lara 1 said: soma post za nyuma utakuta mambo kibao kuhusu ipads na bei zake Click to expand... ahsante ndugu.
lara 1 said: soma post za nyuma utakuta mambo kibao kuhusu ipads na bei zake Click to expand... ahsante ndugu.
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 62,470 Reaction score 111,870 Aug 24, 2012 #7 Hansy wa East said: natafuka ipad 3 or 2 maana hizo ipad 4 nadhani mkasi wake mkali. Click to expand... Uwezo wako ni wa kununuwa Netbook then unataka Tablet!! Wabongo bana.
Hansy wa East said: natafuka ipad 3 or 2 maana hizo ipad 4 nadhani mkasi wake mkali. Click to expand... Uwezo wako ni wa kununuwa Netbook then unataka Tablet!! Wabongo bana.
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 16,481 Reaction score 21,205 Aug 24, 2012 #8 kachukue mchina laki 2 unapata kkoo
S Sometimes JF-Expert Member Joined Dec 28, 2010 Posts 4,536 Reaction score 1,137 Aug 24, 2012 #9 Mkuu tafuta thread ya Maberere ya wiki kama mbili zilizopita. Yeye alikuwa anaomba wateja kama 20 hivi wajiandikishe kwake ili aagizie hizo tablets,laptops kutoka kiwandani China.
Mkuu tafuta thread ya Maberere ya wiki kama mbili zilizopita. Yeye alikuwa anaomba wateja kama 20 hivi wajiandikishe kwake ili aagizie hizo tablets,laptops kutoka kiwandani China.
GP JF-Expert Member Joined Feb 5, 2009 Posts 2,049 Reaction score 162 Oct 26, 2014 #10 Hansy wa East said: Bandugu natafuta ipad tablet ila cjui bei zake naomba kwa mwenye kujua anisaidia plz Click to expand... Icheki hii hapa mkuu
Hansy wa East said: Bandugu natafuta ipad tablet ila cjui bei zake naomba kwa mwenye kujua anisaidia plz Click to expand... Icheki hii hapa mkuu