Mech engineer
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 356
- 482
Shukrani mkuu.utapata mkuu usjali umesoma faculty nzuri
Habari wakuu,
Ni graduate mtarajiwa wa ndaki ya uhandisi mitambo {Bsc in Mechanical Engineering} kutoka chuo kikuu cha Dsm. Natafuta Internship au kazi. Niko tayari kufanya kazi sehemu yeyote ile.
Asanteni.
Shukrani MkuuMihan(kampuni ya gesi, Mihani Gas) walikua wanatoa Intership, hebu jaribu kuangalia..
Ntashukuru mhandisi.Ungekua CoICT ningekuunganisha na kampuni yetu.
But idara yetu ya watu wa Civil Construction ngoja niwacheki.
Shukrani sana mkuu.Karibu majukumuni mkuu.
Haujibu PM chiefUngekua CoICT ningekuunganisha na kampuni yetu.
But idara yetu ya watu wa Civil Construction ngoja niwacheki.
Labda hujaziona zingine mkuuMbona huwa nakujibu mkuu.
Huzionagi??
Mkuu naomba ninganishe nipate intern. Nmemaliza CoICT telecommunications engineering.. Naomba nipate ujuzi na uzoefu wa mamboMbona huwa nakujibu mkuu.
Huzionagi??
Mkuu, nimesomea Computer science niunganishe mkuuUngekua CoICT ningekuunganisha na kampuni yetu.
But idara yetu ya watu wa Civil Construction ngoja niwacheki.