profesawaaganojipya JF-Expert Member Joined Apr 21, 2015 Posts 1,596 Reaction score 3,442 Mar 14, 2019 #1 wakuu,natafuta simu ya HUAWEI,ASCEND MATE 7/8,isiwe na tatizo,kama ina crake screen nifahamishe,betri inayodumu angalau siku moja(masaa 12) kwenye net,camera zote,speaker na charge system viwe ok,,ofa yangu ni 150,000/=,0717964524/0753814720..
wakuu,natafuta simu ya HUAWEI,ASCEND MATE 7/8,isiwe na tatizo,kama ina crake screen nifahamishe,betri inayodumu angalau siku moja(masaa 12) kwenye net,camera zote,speaker na charge system viwe ok,,ofa yangu ni 150,000/=,0717964524/0753814720..
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,095 Reaction score 39,619 Mar 14, 2019 #2 Kwa mfano hapa wewe unatafuta kupigwa,lakini baadae utalalamika. Hiyo bei uliyotaja na vigezo ulivyotoa ndipo sumaku ya mabazazi ilipo.
Kwa mfano hapa wewe unatafuta kupigwa,lakini baadae utalalamika. Hiyo bei uliyotaja na vigezo ulivyotoa ndipo sumaku ya mabazazi ilipo.
Ernest lukindo Senior Member Joined Jul 29, 2015 Posts 162 Reaction score 116 Mar 14, 2019 #3 Acha kuvuta bangi mda wa kaz mtoa uz Sent using Jamii Forums mobile app
Clarity JF-Expert Member Joined Jul 6, 2010 Posts 1,963 Reaction score 2,917 Mar 14, 2019 #4 Huawei mate 7 au mate 8 kwa shs. 150,000 Kupata vichekesho kama hiki tuma neno vichekesho kwenda namba 15098 Vigezo na masharti kuzingatiwa Sent using Jamii Forums mobile app
Huawei mate 7 au mate 8 kwa shs. 150,000 Kupata vichekesho kama hiki tuma neno vichekesho kwenda namba 15098 Vigezo na masharti kuzingatiwa Sent using Jamii Forums mobile app