Natafuta Huawei IDEOS U8150 za Kununua....

Natafuta Huawei IDEOS U8150 za Kununua....

Michael Paul

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
403
Reaction score
319
Wakuu... anayefanya biashara ya kuuza hizi simu za Huawei IDEOS U8150 plz tuwasiliane
 
Kama unataka za biashara nenda Nairobi kwenye maduka ya Safaricom wanaziuza kuna wakati walikuwa wanauza kwa Tsh 70,000 ila kwa sasa sijui,angalia kwenye website yao,uzuri hizo za Safaricom ni unlocked tofauti na za Tigo
 
unaweza kunisaidia sehemu gani nairobi naweza pata simu za mkononi na vifaa vya computers kama external hardisk etc za kuzaa kwa bei poa??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom