Natafuta HTC One ya kununua

Natafuta HTC One ya kununua

Kitimoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
8,191
Reaction score
9,851
Wakuu natafuta HTC One ya kununua, aliyenayo tufanye biashara.

ANGALIZO:Nahitaji HTC One na sio HTC ONE S, sijui HTC One V.
 
ninayo nyeupe 32GB ya T-Mobile lakini unlocked ina 4.3 upgradable to 4.4.2. laki tano na hamsini (non negotiable). iko safi kila kitu

sababu za kuuza... nimeibiwa laptop..

cheki PM for my digits..
 
Ndugu,ninayo ya silver used, nipe 500000 tuu mwisho 450000.
 
Badilisha mawazo nikupe HTC G 1 - Brand new TZs 320,000
 
Badilisha mawazo nikupe HTC G 1 - Brand new TZs 320,000
Simu ya mwaka 2008 alafu specs zake ndogo sana niipeleke wapi! Nimeshaweka ANGALIZO ila umekuwa mgumu kuelewa. Nina iPhone 5S na sasa nataka handset ya pili nadhani HTC One ndio itakuwa bora kwangu.
 
sasa ndugu KITIMOTO kama una 5s wat if ukichukua mpya kabisa nadhan itakufaa otherwise fanya mpako uagiziwe abroad nadhan utafanya la maana zaid kama umekosa tz
 
Kuna HTC ONE XL MPYA IPO ARUSHA. BEI MAELEWANO

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Watanzania wagum kuelewa?duu,anasema HTC one not otherwise but Mkuu Wagwaan sijui kiswahili kigum siku hizi????ahaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom