Je unataka Htc aina gani? mimi niko uk kama unahitaji taja aina ya htc unayotaka na hela ulokua nayo kisha nitainunua na kukutumia kisha nitakwambia ikishafika ukaichukue wapi na ulipie. kwa mfano kuna htc wildfire, htc desire, htc desire hd, htc sensation , htc hd2, htc hd7 itakua vizuri ukitaja hela ulokua nayo kwa dola. Ni pm