KennedyMmari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 979
- 188
Ndugu Wanajamvi,
Sijui kama laptop huwa zina housing. Mimi natafuta housing ya Samsung Laptop 16 Inches yenye rangi ya nyeusi.
Fundi yeyote aliyo nayo au kama unamjua aliyenayo anitumie picha Whatsapp kwenye namba 0719579733