Mkuu taratibu. Hapo kwenye redi ni hasira nini au haraka?wao hawa wanadai marupurupu ya mishahawa kwa waajiri wao wakati huo huo wanalipa kiduchu kwa wafanyakazi wao. Inatakiwa mshahara na marupurupu iwe kama ifuatavyo:-
1. mshahara wa h.girl ni 85,000/= .
2. Kula bure na kulala bure.
3. Matibabu bure akiugua na pia nauli ya kwenda kwao na kurudi kila mwaka pamoja na zawadi kwa wazazi wake (baba na mama)
4. Pesa zipelekwe benki si kumpa mkononi ashauriwe namna ya kutunza pesa
5. apewe ushauri njisi ya kujisaidia yeye mwenyewe in future lets say after 5 to 10 years
6. Awe ni mmoja wa wanafamilia, (asinyanyaswe kwa namna yoyote ile) hapo ataweza kuwapenda ninyi pia pamoja ya watoto wenu
Haya wengi hawayatimizi na ndiyo tatizo kila siku wafanyakazi wanasepa tu unabaki unahangaika kama hivi.
Kigezo kikubwa,asiwe na mvuto kuzidi mama mwenye nyumba
unapomtoa kijijini anakuwa mchafu hana mvuto........ ila akipata lishe nzuri ananawiri sana anamzidi hata mama mwenye nyumba, ukiwa na jicho la husda lazima umfanye nyumba ndogo ndani ya nyumba kubwa.
wasichana wa kazi au wa kijijini asilimia kubwa ni wazuri kwa shepu kuliko wa mjini kama huamini mvalishe vizuri pamba za ukweli, saloon kidogo then mlinganishe na mkeo aliyejichubua unapata jibu lake!........... "vile vitu ni original"
Mkuu taratibu. Hapo kwenye redi ni hasira nini au haraka?
Halafu we mwanaume una balaa hapo kwenye red unazungumzia nini?
Originally Posted by Dr wa ukweli
unapomtoa kijijini anakuwa mchafu hana mvuto........ ila akipata lishe nzuri ananawiri sana anamzidi hata mama mwenye nyumba, ukiwa na jicho la husda lazima umfanye nyumba ndogo ndani ya nyumba kubwa.
wasichana wa kazi au wa kijijini asilimia kubwa ni wazuri kwa shepu kuliko wa mjini kama huamini mvalishe vizuri pamba za ukweli, saloon kidogo then mlinganishe na mkeo aliyejichubua unapata jibu lake!........... "vile vitu ni original"
[/COLOR]
Sure mkuu,mke ukienda FB ukataja specification zako tu, ndani ya nusu saa ushapatayaani siku hizi rahisi kupata mke kuliko hausigelo!mweh