Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,767
- 58,337
Mmmh huku nakimbia mishangazi ndio mana nataka nijitenge mi sizani kama mishangazi itakua na faida tena kwanguUnaitafutia humu jf kumbe?
Huko shamba unapotaka kwenda mashangazi utayapaje sasa mkuu?
Hataniweza yule cheusi mangala.Aise hii lazma aione mwenyew ikiwezekana akufungulie shaur GENTAMYCINE
Mkuu mambo ya all-in-one ndio mpango wa mjini sasa hivi. Huoni hata simu unayotumia ina redio, tochi, na kamera kwa mpigo? Na mimi hapa natafuta Full Package mfanyakazi anayeng'aa kama balbu [emoji23]Muonekano: Awe mweupe (rangi ya mtume), maana nataka nyumba iwe na mwanga muda wote hata umeme ukikatika.
Sema unatafuta Mke[emoji28]
Kwahyo unatafuta mkeHapana sina mke
Mmmh yeye amesema anataka mdda wa kazi ujue ๐๐๐๐๐
Uko aggresive kutokea pembeni chief๐Mkuu mambo ya all-in-one ndio mpango wa mjini sasa hivi. Huoni hata simu unayotumia ina redio, tochi, na kamera kwa mpigo? Na mimi hapa natafuta Full Package mfanyakazi anayeng'aa kama balbu [emoji23]
Huyu baharia jau sana ๐๐๐๐Anatafutwa meneja, kama wale wa wasanii...
Mcheki PMYukuwapi
Huyu jamaa anatafuta mke na asiwe Single mother wenye D2 tumeshaelewaMuonekano: Awe mweupe (rangi ya mtume), maana nataka nyumba iwe na mwanga muda wote hata umeme ukikatika.
Sema unatafuta Mke๐
Tuliosoma Cuba tumemsoma kitamboHuyu jamaa anatafuta mke na asiwe Single mother wenye D2 tumeshaelewa