laurent86 Member Joined Jun 12, 2014 Posts 45 Reaction score 2 Jun 21, 2014 #1 Awe na miaka 18 nakuendelea,asiwe na mtoto, awe mwaminifu, asiwe na tatizo lolote, awe msafi na asiwe mvivu mawasiliano.eneo la kazi dsm 0683142500;
Awe na miaka 18 nakuendelea,asiwe na mtoto, awe mwaminifu, asiwe na tatizo lolote, awe msafi na asiwe mvivu mawasiliano.eneo la kazi dsm 0683142500;
NullPointer JF-Expert Member Joined Feb 7, 2011 Posts 3,461 Reaction score 2,284 Jun 21, 2014 #2 Nimekuja humu kukuuliza, hivi una akili kweli? Unatafuta house girl JF? Watu mliokuja juzijuzi bna, em jaribu kufuatilia trend inavokwenda kabla hujapost sio unafungua thread ya utumbo..
Nimekuja humu kukuuliza, hivi una akili kweli? Unatafuta house girl JF? Watu mliokuja juzijuzi bna, em jaribu kufuatilia trend inavokwenda kabla hujapost sio unafungua thread ya utumbo..