Natafuta hoteli ya kufanyia field (reception,housekeeping,food and beverage service and food production)

Irene marwa

Member
Jul 25, 2020
35
36
Kama title inavyojieleza mimi nasoma chuo cha taifa cha utalii naomba mwenye nafasi au connection niweze kufanya field nipo Dar es Salaam pia nina uzoefu na mambo ya telephone operations na customer care.
 
Sawa
Utapata Connection Nyingi Sana
Unatafuta Dar es salaam Ama Mpaka Serikali Ilikohamia
 
Hapana nahitaji hapa hapa dar maana ndo itakuwa rahisi kwangu mimi kufika
Hauna ndugu wa kuweza kukupa hifadhi ukaenda kufanua hiyo field zanzibar??kama kweli unataka kitu lazima ukipambanie haijalish mazingira ni lazima upambane..
 
Hauna ndugu wa kuweza kukupa hifadhi ukaenda kufanua hiyo field zanzibar??kama kweli unataka kitu lazima ukipambanie haijalish mazingira ni lazima upambane..

Ni kweli lakini shida ni kuwa bado nipo chuoni ambapo inabidi niingie asubuhi alafu jioni ndo naingia chuoni
 
Ni kweli lakini shida ni kuwa bado nipo chuoni ambapo inabidi niingie asubuhi alafu jioni ndo naingia chuoni
Ohoooo....kama uko chuo mbona unapata shida sasa..kwa ninavyofahamu chuo huwa kinakuwa na connection na hotels ambazo wanafunzi wa chuo husika wanaenda kufanya field hapo.
 
Namimi pia natafuta nafas za field hotel za Zanzibar naomba connections nipo dodoma boboya East Africa college 0677515092
 
Back
Top Bottom