Mhhhhhhhhh,
Namwona Mama wa logistics
Preta akitafuta mara viatu, mara mkanda, mara ohhhhhhhhh!!!
Hebu nitafutie mupenzi wangu
Lily Flower anambie kama huyu siyo nyuki wa mashine...lol!!
Vinginevyo, twende zetu Monduli kwanza tukahani ile "safari ya matumaini hewa"....!
Babu DC!!