Mikhail Tal
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 505
- 872
Nachotaka ni hiyo dawa, hata kama unayo basi nahitajiunataka duka kubwa lenye hiyo dawa au unataka duka kubwa ili uulizie hiyo dawa kama wanayo?
Nahitaji hiyo dawa kiongozi, ninahisi nina upungufu wa vitamin b12, nipo MoroMkuu
Mwaga Data
Kuna Duka Pale Jirani Na AboodNahitaji hiyo dawa kiongozi, ninahisi nina upungufu wa vitamin b12, nipo Moro
Kuna jingine kubwa sana liko kule soko kuu!Kuna Duka Pale Jirani Na Abood
Exim Bank Ni La Jumla Umewahi Pita
Morogoro mjini maduka yote ya dawa umekosa?Nahitaji hiyo dawa kiongozi, ninahisi nina upungufu wa vitamin b12, nipo Moro
Hapana mkuu wangu linaitwaje, lipo pembeni kabisa na exim bank, ngoja nifike hapo leoKuna Duka Pale Jirani Na Abood
Exim Bank Ni La Jumla Umewahi Pita
Pale waliniambia stock imeisha kwahiyo sikupataKuna jingine kubwa sana liko kule soko kuu!
PALE Kingaru Mwana BanziKuna jingine kubwa sana liko kule soko kuu!
sijazunguka yote lakini ila mengi nimeikosaMorogoro mjini maduka yote ya dawa umekosa?
Hapo nimekosa kiongozi si hilo duka kubwa sana hapo kingalu?PALE Kingaru Mwana Banzi
Apite Huko Kwako Anaweza Kupata Chap Chap
Kasema alikosa!PALE Kingaru Mwana Banzi
Apite Huko Kwako Anaweza Kupata Chap Chap
Njoo Pia Hapa Ilipo Exim Bank Kuna Duka Kama Sijakosea Jina ShebahHapo nimekosa kiongozi si hilo duka kubwa sana hapo kingalu?
Asante sana mkuu ngoja nizunguke huko leoStendi Ya Zamani Morogoro
uwanja Wa Jamhuri Kuna Maduka Makubwa Sana
Kama ukizunguka kote ukikosa, mwambie mtu wako wa karibu aliyepo Dsm akununulie na kukuagizia.sijazunguka yote lakini ila mengi nimeikosa