Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 1,262
- 2,750
Mpunga linapakia gunia ngap mininum?sisi huku ziwani tunayanunua mapya 6,800,000/= ule mwezi wa 5 kwaajili ya kupakilia mpunga kupeleka mashineni kwa siku kulala na 100,000/= ni kawaida kabisa minimum.
Hata mimi mnakopeleja pia kuanzia mwezi wa nne kulala na laki na hela kawaidasisi huku ziwani tunayanunua mapya 6,800,000/= ule mwezi wa 5 kwaajili ya kupakilia mpunga kupeleka mashineni kwa siku kulala na 100,000/= ni kawaida kabisa minimum.
Yaani hii ya kukomaa mwenyew naitamani sana ila muda sasa kuugawa ndo shida....me nataka ninunue mawili afu mwezi wa 5 nikamate madogo wawili nikakae nao chaka flan hivi tukabebe mpunga,mihangaiko yangu mikubwa ipo mjini na mjini si mbali sana na hilo chaka,so nimeoanga yaan nakaa nao wiki,wiki narud mjini....nakaa nao tena wiki then wiki narud mjini na madude nayafunga GPS kabisa.Hata mimi mnakopeleja pia kuanzia mwezi wa nne kulala na laki na hela kawaida
Yaani guta kama liko vema ukimpa mtu unamnufaisha kn una nafasi komaa mwenyewe ubatoboa
uku ziwani tunapakia gunia 20 hadi 25@100kg za mpunga, gunia za karanga tunapakia 40@42kg, mahindi 20@120kg, ufuta 25@100kg na tofari ndogo tunapakia 500, kokoto vindoo vidogo vya lita 10 tunapakia 100, cement tunapakia 40, na mbolea tunapakia mifuko 40@50kg, mbao tunapakia 150 ila sharti iwe SINORAY q7 ndio inakifua cha kuhimili yote hayo na inatengenezeka achana na aina nyingine tofauti na SINORAY yatakupasua kichwa bure.Mpunga linapakia gunia ngap mininum?
kupata madereva wazuri ni changamoto sana hasa hawa wanyoa viduku!, guta likipakia mzigo linahitaji umakini sana hasa barabara zetu hizi zenye mashimo mengi wengi wao huwa hawajali hilo unakuta wanalipigiza mpaka linawahi kufa mapema.Yaani hii ya kukomaa mwenyew naitamani sana ila muda sasa kuugawa ndo shida....me nataka ninunue mawili afu mwezi wa 5 nikamate madogo wawili nikakae nao chaka flan hivi tukabebe mpunga,mihangaiko yangu mikubwa ipo mjini na mjini si mbali sana na hilo chaka,so nimeoanga yaan nakaa nao wiki,wiki narud mjini....nakaa nao tena wiki then wiki narud mjini na madude nayafunga GPS kabisa.
Kwenye hela niwaambie madogo kwamba nitawalipa 350 kila mmoja kwa mwezi na posho ndogo ndogo niwe nawatoa kila siku ila kila guta lilaze 60 kwa siku.
Natafuta wale madogo ambao hawana majukumu home.
Vipi hii idea unaionaje mkuu?
Hii ni mzuri mkuu kwa upande wangu kwakuwa wadogo watajua hawako huru sanaYaani hii ya kukomaa mwenyew naitamani sana ila muda sasa kuugawa ndo shida....me nataka ninunue mawili afu mwezi wa 5 nikamate madogo wawili nikakae nao chaka flan hivi tukabebe mpunga,mihangaiko yangu mikubwa ipo mjini na mjini si mbali sana na hilo chaka,so nimeoanga yaan nakaa nao wiki,wiki narud mjini....nakaa nao tena wiki then wiki narud mjini na madude nayafunga GPS kabisa.
Kwenye hela niwaambie madogo kwamba nitawalipa 350 kila mmoja kwa mwezi na posho ndogo ndogo niwe nawatoa kila siku ila kila guta lilaze 60 kwa siku.
Natafuta wale madogo ambao hawana majukumu home.
Vipi hii idea unaionaje mkuu?
Wapo jamaa dar wanafanya hii japo kuna gharama kidogo,guta inaunganishwa na simu so unaliona kila linapokwenda.Hii ni mzuri mkuu kwa upande wangu kwakuwa wadogo watajua hawako huru sana
Ivi gps inauzwaje na inapatikana kwenye maduka ya aina gani
SawaWakuu habari zenu
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema
Nina uhitaji wa ile chuma ya kazi iliyotumika kwa sababu bajeti yangu haitoshi kununua mpya.
Natafuta Senoray cc 300 used akiwa kwenye hali nzuri
Wakuu habari zenu
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema
Nina uhitaji wa ile chuma ya kazi iliyotumika kwa sababu bajeti yangu haitoshi kununua mpya.
Natafuta Senoray cc 300 used akiwa kwenye hali nzuri