Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 20,027 Reaction score 16,149 Jul 27, 2016 #1 Waungwana siku si nyingi nitakuwa safarini KASULU, naomba nifahamishwe guests house lodges za hazi ya Kati za gharama kati ya 15-25. Natanguliza shukrani. Zamaulid
Waungwana siku si nyingi nitakuwa safarini KASULU, naomba nifahamishwe guests house lodges za hazi ya Kati za gharama kati ya 15-25. Natanguliza shukrani. Zamaulid
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,627 Jul 27, 2016 #2 Ziko nyingi mkuu, kwa 25,000 unapata sehemu nzuri na salama kulala.
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 20,027 Reaction score 16,149 Jul 27, 2016 Thread starter #3 Raimundo said: Ziko nyingi mkuu, kwa 25,000 unapata sehemu nzuri na salama kulala. Click to expand... Majina kama unayakumbuka tafadhari
Raimundo said: Ziko nyingi mkuu, kwa 25,000 unapata sehemu nzuri na salama kulala. Click to expand... Majina kama unayakumbuka tafadhari
conc acid JF-Expert Member Joined Mar 7, 2014 Posts 728 Reaction score 439 Jul 27, 2016 #4 Kasulu lodge
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,627 Jul 27, 2016 #5 Zamaulid said: Majina kama unayakumbuka tafadhari Click to expand... Mkuu majina siyakumbuki sana lakini pale kuna nyumba nyingi za kulala wageni na nzuri, ukimwomba dreva taksi yeyote atakupeleka mahali pazuri tu. Kuna Kasulu Motel iko pembeni kidogo ya mji, ni pazuri sana.
Zamaulid said: Majina kama unayakumbuka tafadhari Click to expand... Mkuu majina siyakumbuki sana lakini pale kuna nyumba nyingi za kulala wageni na nzuri, ukimwomba dreva taksi yeyote atakupeleka mahali pazuri tu. Kuna Kasulu Motel iko pembeni kidogo ya mji, ni pazuri sana.