Natafuta Grilling machine ya kukodi

Natafuta Grilling machine ya kukodi

Heci

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
3,781
Reaction score
6,683
Niko mitaa ya Posta natafuta drilling machine ya kukodi kwa kazi ya saa moja
 
sema kazi unayotaka ifanya drilling machine zipo mpk za kutoboa miamba

sasa wewe unataka mashine ya uwezo upi,ufanyie nini?

ndio tuone ipo iliyo free au haipo..
 
Nenda madukani humo humo unakonunua spare zako za AC au CCTV camera unazofunga kule ndo utapata mwongozo zaidi ukija kuandikabhumu watu wako maofisini full AC we ukakwma kazi yako[@Heci,
 
Kutoboa ukuta was zege
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom