Natafuta graphics card

Kama hiyo tafuta tu power supply nyingine 450W-500W itafaa kwa gtx 660, ila usinunue hizo za kichina zinazouzwa 30,000/= ni bomu hazifai, ungeweza ingekuwa vizuri ukaagiza na psu nzuri ebay au amazon japo huwa zina gharama sana kwenye shipping kwasababu ya uzito.
 
Kwakweli nimeziona kko wanauza elfu 25 vyepesi sana sidhani kama vinaweza kusukuma system nzima na gpu bila kupata majanga
 
mkuu hiyo radion RX550 ni 4gb au 2gb

ina mana bei haizidi lak 2?
zipo za 2gb na 4gb pamoja na gharama za kuileta itafika.

naona amazon zimekuwa adimu sasa hivi miezi kadhaa zilikuwa $80 tu.

kuna uhaba mkubwa wa memory sasa hivi vitu kama ram na gpu vimepanda sana bei
 
Mkuu mim pia nnashida na graphics card for gaming ntakupataje tufanye kaz! !?
 
zipo za 2gb na 4gb pamoja na gharama za kuileta itafika.

naona amazon zimekuwa adimu sasa hivi miezi kadhaa zilikuwa $80 tu.

kuna uhaba mkubwa wa memory sasa hivi vitu kama ram na gpu vimepanda sana bei
Mkuu nnashid ya graphics card for gaming ntakupataje tufanye kaz! !?
 
Habari zenu wakuu Natafuta gaming desktop nafanya mchakato wa kuorder ebay/amazon naomba kufahamu kipi ni rahisi katika gharama kati ya kuagiza gpu nje na kuchukua desktop computer hapa hapa tz then niahizie gpu nje ! what is the good option kwa mambo ya gharama zahivi vitu!??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu desktop kwa kina DHL utalia itakuwa gharama mara 5 au zaidi ya thamani ya hio desktop.

Ushauri nunua desktop hapa na uagizie gpu nje,sema kuwa makini na psu unaponunua desktop maana itakulimit aina ya gpu utakayotumia.
 
Sawa sawa boss mkuu nashukuru sana ngoja nitafute desktop hapa hapa tz

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu desktop kwa kina DHL utalia itakuwa gharama mara 5 au zaidi ya thamani ya hio desktop.

Ushauri nunua desktop hapa na uagizie gpu nje,sema kuwa makini na psu unaponunua desktop maana itakulimit aina ya gpu utakayotumia.

kwahyo mkuu. Ni desktop yenye PSU ya watts ngapi inaweza kuwa nzuri zaidi na isilete limitations kwenye Installation ya GPU!!?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kwahyo mkuu. Ni desktop yenye PSU ya watts ngapi inaweza kuwa nzuri zaidi na isilete limitations kwenye Installation ya GPU!!?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Around 700 watts hivi,

Ila na assume hutafuti gpu za mamilioni, hivyo 400watts inatosha kwa gpu za kawaida.
 
Around 700 watts hivi,

Ila na assume hutafuti gpu za mamilioni, hivyo 400watts inatosha kwa gpu za kawaida.

Ahsante sana mkuu .. umenisaidia sana mkuuu nilikuwa napotea njia yani ningeagiza njee ingekula kwangu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…