ulisha wahi kuagiza uku?sijawahi itumia hii site ila nimeona jamaa fulani wanairecomend, cost ya shiping ni dola 25
gtx 750 ni dola 80
gtx 750ti ni dola 100
zote hizo zipo kwenye budget na ni 2gb gddr5
gpuShack - Refurbished GPUs with Two Year Warranty. Free Shipping.
sema huwa stock zao zinaisha mara kwa mara uwe mvumilivu na uwe unacheki mara kwa mAra. pia sio mpya hizo gpu
sijawahi mkuu, kwenye hio comment nimeandika hapoulisha wahi kuagiza uku?
itacheza games zote kwa 720p na pia games nyingi utacheza kwa 1080p. kama una powersupply alioitaja hapo juu ni gpu nzuri kwa hio bei
kwa desktop kubadili graphics card ni rahisi kuliko hata kutia ufunguo kwenye mlango. unaichomeka tu haina utaalamu wowote. ni laptop ambazo haziruhusu mambo hayaMbona mm niliambiwaga huwezi kubadilisha graphics card na kuna uwezekano mkubwa wa kuua pc, ilikua 2012 ila leo nashangaa
kwa desktop kubadili graphics card ni rahisi kuliko hata kutia ufunguo kwenye mlango. unaichomeka tu haina utaalamu wowote. ni laptop ambazo haziruhusu mambo haya
mkuu kuna gpu za aina mbiliasante kijana nimekuelewa, kumbe naweza kutoa intel nikaweka NVIDIA GEFORCE 700 au AMD, btw mimi nilikua nataka nifanye kwa PC
mkuu kuna gpu za aina mbili
-gpu zinazokuja na processor kifupi IGP
-gpu zinazojitegemea kifupi DGP
Hao intel wao wanatengeneza hizo IGP, hizo hazitoki na hazina nguvu sana
nvidia yeye hutengeneza DGP ambazo unachomeka kuiongezea pc nguvu kama gpu iliokuja na processor haikutoshelezi.
Amd yeye anatengeneza zote IGP na DGP.
hivyo hio ya intel huwezi itoa bali unaiongezea kwa juu
soma uzi wote huu, wadau wamezitajaDGP inapatikana wap
laptop zenye thunderbolt 3 ndio unaweza ukaeka external gpu, lakini bei zake kwa sasa bado zipo juu. laptop hizi zote ni za kisasa zimetoka 2015 mwishoni na kuendelea.Chief ina maana laptop hauwezi ongezea graphic card
powersupply zipo pale mtaa wa likoma mkabala na KKKT kuna duka linaitwa kaale sema ni used. alternative cheki machinga complex.Naweza kupata wapi power supply ya kuchomeka na gpu Chief-Mkwawa
Nimeshaagiza gtx 660 sema hii desktop power supply yake ni 250 wattpowersupply zipo pale mtaa wa likoma mkabala na KKKT kuna duka linaitwa kaale sema ni used. alternative cheki machinga complex.
kwa mpya nimeziona duka moja la wasomali uhuru na swahili kama unakuja congo linaangalizana na ile sheli sijui ya Total ile ya rangi nyekundu. sema wanauza 30,000 hio bei inaonesha ni za kichina.
una gpu tayari? Amd wana gpu mpya za RX550 hizi ni best kwa oem desktop za dell hp lenovo etc zinatumia watts 50 tu hivyo zinaingia almost desktop yoyote bila kuhitaji kueka power supply mpya na bei ni chini ya dola 100 na zina nguvu kushinda hata gtx 750ti.
ni hizi za kina dell na HP au ni desktop ipi? power supply yake ya sasa ni pin ngapi?Nimeshaagiza gtx 660 sema hii desktop power supply yake ni 250 watt
Ni dell optilex ya sasa haina kabisa pin kwa ajili ya gpu waya zake zote zimeshaenda kwenye parts tofauti hamna waya iliyobakini hizi za kina dell na HP au ni desktop ipi? power supply yake ya sasa ni pin ngapi?
optiplex ngapi?Ni dell optilex ya sasa haina kabisa pin kwa ajili ya gpu waya zake zote zimeshaenda kwenye parts tofauti hamna waya iliyobaki
Kama itakuwa ni dell optiplex 9020 unahitaji wire kwa ajili ya hiyo power supply mpya, hizo 9020 psu zake zina pin 8 tu, wakati standard ATX psu zina 20 hadi 22 pin.Ni dell optilex ya sasa haina kabisa pin kwa ajili ya gpu waya zake zote zimeshaenda kwenye parts tofauti hamna waya iliyobaki
7010optiplex ngapi?
mkuu hiyo radion RX550 ni 4gb au 2gbpowersupply zipo pale mtaa wa likoma mkabala na KKKT kuna duka linaitwa kaale sema ni used. alternative cheki machinga complex.
kwa mpya nimeziona duka moja la wasomali uhuru na swahili kama unakuja congo linaangalizana na ile sheli sijui ya Total ile ya rangi nyekundu. sema wanauza 30,000 hio bei inaonesha ni za kichina.
una gpu tayari? Amd wana gpu mpya za RX550 hizi ni best kwa oem desktop za dell hp lenovo etc zinatumia watts 50 tu hivyo zinaingia almost desktop yoyote bila kuhitaji kueka power supply mpya na bei ni chini ya dola 100 na zina nguvu kushinda hata gtx 750ti.