natafuta girlfriend

CHEF

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2013
Posts
222
Reaction score
122
Natania tu, jamani isije ikawa serious saana kuhusu huu uzi , awe miaka (16-20) , maana usiozee jela
 
.....mnh, jamaa mwenyewe yupo University....
Sijui ni mkaazi wa huko, au amekwenda tu mara moja, au ni muajiriwa....

Mashaka matupu hii #Mitandao ...

hahaaaaa mitandao ina mengi.....ukute ye alifanya kazi weeeeee sa hivi kaamua

kusoma ndo anatafuta girlfriend miaka 16-20......kazi kweli kweli
 
16 unatafuta balaa may be ungesema 18 sawa.. ila watakuja
 
wanajf natafuta a girlfriend mimi npo university sasa awe ana umri 16-20

Acha kutuchanganya! Nenda Facebook. Huku JF acha watu wenye akili tuendelee kujadili mambo ya maana ya mstakabali wa Taifa hili.
 
age ya 16 to 20 iko shule bado!!

jaribu uone, miaka 30 inakuhusu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…