Natafuta girlfriend leo hii!

Last edited by a moderator:
nakumbuka wakati nipo darasa la 3 dada zangu walinivalisha hilo bwanga lilikuwa la bluu enzi hizo linaitwa fagia uwanja yaani nililia naingia kanisani hadi natoka huku wao wakicheka sana, siji sahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…