Davidson simon
Member
- Jan 6, 2017
- 46
- 15
Gari aina ya premio corona inahitajika
Unapatikana wapi?Namba c nina m 4.5 iwe ktk hali nzuri
Engen ganMkuu mm ninayo nauza kwani sasa. Nimenunua wish.,inahitajika milioni 3 tu.iko vizuri saaana spidi 260,![]()
![]()
![]()
Vibali vyote fresh tu.wewe tu namba 0689799999 ,mm nauza roho inaniuma maana kwa mwendo hapa hatari ,haina tatizo isipookuwa AC gas imeisha,taa ya mbele moja imepasuka,na Ndani ni kuosha