Kijiti
Senior Member
- Apr 24, 2011
- 190
- 27
Habari wana JF,
Natafuta mtu anaeuza gari ya maji ambayo ni nzima au gari ambayo ntaifanya iwe ya biashara ya maji mimi mwenyewe. Kama ntapata canter, Mitsubishi, Isuzu itakua poa au aina engine yenye uwezo wa kubeba kuanzia tani 1.5
kwenda mbele. Usiwe na tamaaa kama unayo gari unauza au unajua iko wapi. Ingia private uni pm tuongeee dili.
Alamsik.