Natafuta gari ya kununua

Natafuta gari ya kununua

Mama wa rafiki yangu anauza Nissan Note kwa 6.5M maongezi yapo. Nissan Note 2006 No.T655DDS, cc 1500 km140000, rangi ya silver. Ubavuni hapo mama yetu alivamia geti kwa ujumla ni gari nzima kama mnavojua mama zetu sio watumiaji sana wa magari so muda mwingi gari imepaki home kwake. Kwa mawasiliano zaidi 0652494919.
 
Attachments

  • IMG-20201223-WA0022.jpg
    IMG-20201223-WA0022.jpg
    45.4 KB · Views: 12
  • IMG-20201223-WA0011.jpg
    IMG-20201223-WA0011.jpg
    59.2 KB · Views: 13
  • IMG-20201223-WA0020.jpg
    IMG-20201223-WA0020.jpg
    52.3 KB · Views: 14
  • IMG-20201223-WA0019.jpg
    IMG-20201223-WA0019.jpg
    52 KB · Views: 12
  • IMG-20201223-WA0014.jpg
    IMG-20201223-WA0014.jpg
    37.8 KB · Views: 11
  • IMG-20201223-WA0024.jpg
    IMG-20201223-WA0024.jpg
    37.2 KB · Views: 10
  • IMG-20201223-WA0013.jpg
    IMG-20201223-WA0013.jpg
    60 KB · Views: 8
6.5mil gari imegongwa ubavuni vibaya mno...picha unapiga kiwizi wizii,plate no.umeficha..kuna mtu soon atalia! Saturday iz not monday!
Mama wa rafiki yangu anauza Nissan Note kwa 6.5M maongezi yapo. Nissan Note 2006 No.T655DDS, cc 1500 km140000, rangi ya silver. Ubavuni hapo mama yetu alivamia geti kwa ujumla ni gari nzima kama mnavojua mama zetu sio watumiaji sana wa magari so muda mwingi gari imepaki home kwake. Kwa mawasiliano zaidi 0652494919.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom