Natafuta gari ya kununua toyota ist

Natafuta gari ya kununua toyota ist

gimanini

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2015
Posts
1,910
Reaction score
1,981
Wadau natafuta gari aina ya TOYOTA IST ya thamani isiyo zidi milioni 6. iwe kwenye hali nzuri.
 
Ninauza mack ii 1g 6 nzima balaa nauza ml.2 nichek no.0655 164040 nipo dar mbezi.
 
Wadau natafuta gari aina ya TOYOTA IST ya thamani isiyo zidi milioni 6. iwe kwenye hali nzuri.
Huwezi kupata gari unayotaka iwe Ktk hali nzuri kwa bei hiyo...Ongeza helaaa
 
Bajeti iko chini mkuu...ukipata gari nzuri kwa bei hiyo bahati sana.
 
Wadau natafuta gari aina ya TOYOTA IST ya thamani isiyo zidi milioni 6. iwe kwenye hali nzuri.

Ni pm nikupatie gari

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwa pesa uliyonayo utapata Passo au Vitz. IST sahau. Pesa huna unataka gari nzuri pyuuuu...!!!
 
Tunadanganyana sana... siku hizi gari ndogo zenye kutumia mafuta kidogo ni ghali kwa kuwa watu wanazihitaji sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom