Oi jaribu na Facebook Marketplace place. Ila kwa hiyo bei nashauri sana tafuta fundi mzuri na uwe na akiba ya angalau 1 Million kwa service nzuri. View attachment 3465531

Iko vizuri sana mkuu. Ata mimi nimeanza kuitumia. Sema sio reliable kwa vitu vya electronics na nguo. Maana mtu ana duka nae anaweka tu so haina utofauti.
Me nimenunua dekstop, meza na office chair. Nzuri sana.