Natafuta gari ya kununua isizidi mil 3

Natafuta gari ya kununua isizidi mil 3

mimi ninayo gx baloon mark 2, 1 g kavu. bei 2.3m kwa aliye serious tuwasiliane, Au kwa aliye na gx 100 nzima, vitz au raum old model tubadirishane nimwongeze lak 5.
Tuwasiliane no 0754734009 nikutumie picha kwa whasapp
 
mil 3 mkuu macyala haya mkuu .ongeza.nikupe Toyota vitz,namba AZ .nipe 3.5mil contact 0713959290
 
Kaka wasikutishe,unaweza pata gari nzuri kwa hela hiyo inategemeana na muuzaji..mi nilinunua gari kwa m3 ilikuwa bomba sn mpk nilikuwa nabembelezwa niwauzie watu tena kwa hela zaid..so tafuta gari taratibu,watu hawaishiwi matatizo na wengine wanataka kubadilisha magari...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom