Mimi ninayo ya kuuza milioni 1 Bitto mgongo wa chura itakufaa sana.Ni pm mkuu.
Mimi ni mtanzania ninayepatikana dar es salaam natafuta gar ya kununua aina ya yeyote yenye condition nzuri bt especially vitz,mazda demio au starlet,serious sellers contact me 0785 853297 au 0713 458678
Mimi ninayo ya kuuza milioni 1 Bitto mgongo wa chura itakufaa sana.Ni pm mkuu.
Lete hela nkupe gets hynday 2006, manual 62,000km; bei Au$4500
View attachment 156896View attachment 156897View attachment 156898View attachment 156899
No scratches, no leakage niPm
Bito? Loh aisee ya mwaka gani hiyo
Ina cc ngapi,ya mwaka gani napenda old model inayoelea kwenye maji kama boti,na isiwe na kutu ,nipe picha
Mimi ni mtanzania ninayepatikana dar es salaam natafuta gar ya kununua aina ya yeyote yenye condition nzuri bt especially vitz,mazda demio au starlet,serious sellers contact me 0785 853297 au 0713 458678[/QUOTE
Hivi bajaji na yenyewe si gari?
Hapa mnatafuta magari ya kushinda gereji tu
hiyo hela kamata BOXER mbili fasta. moja yako nyingine ya mkeo.
wap unapata boxer 2 kwa ml 3