Natafuta gari ya kukodi

Natafuta gari ya kukodi

mahmetjr

Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
16
Reaction score
2
Habari za asubuhi wana jamiii.
Natafuta gari ya kukodi kwa muda wa siku mbili, dereva na mafuta juu yetu, bajeti 100000/= kwa siku mbili zote.
Mwenye nayo ani pm
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Gari ipo ila dereva wangu upo sehem gani?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hebu jieleze vzr mkuu! Gari aina gani ndogo kubwa, maffuta vp? Dereva ana posho hana na ni safari ya wapi! Mizunguko ya town au? Manake ukitaka gari ya kwenda kuolea au kubeba wakwe hapo ndio mi nahusika! Nakupa kitu cha ukweli
 
du bajati laki moja for 2 days, hata kama hujasema unataka gar ya namna gani , mtu sana sana atakupa colora ya mwaka 92, no A/c, power window hazifanyi kazi, na tair n vipara.
 
Hembu fikirieni.laki moja kwa siku mbili?
Halafu only 2post.
Dereva juu yao,hapo naona kama watu wanapiga issue halafu wanaitelekeza gari.Kisha msala kwa mmiliki
 
Mkuu dereva kwangu mkuu, nina ka limited kwa ruti za town fresh tu. Hakatoki nje ya dar. Naku PM tufanye biashara.
 
Wakuu nashukuru wa michango yenu,
Nilipata gari ya kukodi na kufanyia shughuli zangu hapa mjini.
Next time wakuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom