Habari wana jf,
Kwa siku ya kesho alhamisi ya trh18/02/2021 natafuta gari aina costa au hiace nipo Dar-es-Salaam Kiwalani, gari inatakiwa saa 11 jioni inatakiwa hapa hapa Dar haitoki nje ya jiji?
mwenye nayo anaweza kunicheki kwa simu 0785332010 au 0719103409