Mkuu sina spefic offer. Kama una gari na ungependa kuikodisha ww niambie gharama yako ni kiasi gani na ni gari gani. Mengine yote yanajadilik. Njoo PMWhat's your offer??
Barabara ni lami tupu. Ni hapa hapa darUnategemea kitumia ndani ya dar ktk rough roads au ktk ya mji mana dar kuna sehemu mbaya kuliko hata mikoani.?
mkuu unataka na dereva ili nikupe gari si unajua imani kitu cha ajabu sana wengi humu wanamagari ili uoga kama mimiNatafuta gari ya kukodi kwa matumizi binafsi ndani ya mji wa Dar kwa muda wa mwezi mmoja.
Gari inayohitajika isiwe zaidi ya cc 2000.
Ikiwa mmiliki atapenda gari itafungwa car track ili aweze ku-monitor gari yake.
Malipo ni makubaliano, mwenye nayo karibu PM tukubaliane.
Au tuma email richsamtz@yahoo.com
Hapana mkuu sihitaji derevamkuu unataka na dereva ili nikupe gari si unajua imani kitu cha ajabu sana wengi humu wanamagari ili uoga kama mimi
Mkuu sina spefic offer. Kama una gari na ungependa kuikodisha ww niambie gharama yako ni kiasi gani na ni gari gani. Mengine yote yanajadilik. Njoo PM
OkKama huhitaji dereva basi hata mm siwezi
SawaKuna kampuni za kutosha zinakodisha jaribu kucheki nao...mtu binafsi uoga mwingi hata kama tracking information zinakuwepo,...nilikataa wiki mbili zilizopita kubeba abiria pale Chalinze sababu Tu ni wahabeshi, japokuwa nilikuwa nahitaji 'vichwa' kwenda Mbeya...uoga ni akili...cheki na car rental companies.
Ngoja nijaribu. Thnxingia hapa taxify ujisajili au uber utafanikiwa
Loh hatari sn hiiKuna kampuni za kutosha zinakodisha jaribu kucheki nao...mtu binafsi uoga mwingi hata kama tracking information zinakuwepo,...nilikataa wiki mbili zilizopita kubeba abiria pale Chalinze sababu Tu ni wahabeshi, japokuwa nilikuwa nahitaji 'vichwa' kwenda Mbeya...uoga ni akili...cheki na car rental companies.
Lets discuss PMNina Mark X hiyo itakusumbua kwenye wese,ila ni very comfortable ride
Lakini swalamaLoh hatari sn hii