natafuta gari ya 4m

natafuta gari ya 4m

Gangnyota

Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
35
Reaction score
19
natafuta vitz/ duet/ terios/ starlet ya 4millions, mwenye nayo anambie.
 
Ongeza hela mkuu nikupe Duet ya kueleweka ImageUploadedByJamiiForums1378658431.146341.jpg
 
unataka manual au automatic stalet
 
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
Bei gani hiyo DUET?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kuna duet moja ila ili ilipata matatizo kidogo nikaifunga injini ya canter hivyo buti ya mbele haifungi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom