Nna Ist rangi ya silver,namba c,gari Iko vizuri sananatafta gar used yenye usajili wa kuanzia C au D nina bajet ya 7.5m isiyo na deni lolote wala majanga.my preference
1.ist
2.raum
3.nisan note
Hivi gari zao huwa ni nzuri kweli?nenda www.natakagari.com utapata mengi sana utachagua unalotaka na bei inapungua.
nadhani ila si unaenda na fundi anakuangalizia kila kitu.Hivi gari zao huwa ni nzuri kweli?
Umenifurahisha umeingia mle mle kwenye salio lakeView attachment 437313Hii hapa Ist nilikua nauza 7.8 Lakini tunaweza kuongea hiyo 7.5
apunguze ...........mana jamaa kashasema salio mapema .Umenifurahisha umeingia mle mle kwenye salio lake
WMimi mkuu nauza Toyota Passo kama unaihitaji niweke detail zaidi