Dangote the advocate
Senior Member
- Sep 21, 2014
- 136
- 154
Wadau naomba msaada wenu Mimi hapa nilipo Nina milioni 4 je ninaweza kupata gari nzuri ya kutembelea
Wadau naomba msaada wenu Mimi hapa nilipo Nina milioni 4 je ninaweza kupata gari nzuri ya kutembelea

Hiyo Million 4 Ndugu Bora Itafutwe Shughuri Nyingine UwekezeWadau naomba msaada wenu Mimi hapa nilipo Nina milioni 4 je ninaweza kupata gari nzuri ya kutembelea
Mkuu ushauri wako mzuri sana milioni NNE naweza kuwekeza kwenye kitu ganiHiyo Million 4 Ndugu Bora Itafutwe Shughuri Nyingine Uwekeze
Tusikariri ubora wa gari kuwa ni lile la bei mbaya, la sivyo. Mbona mi nimenunua gari la 1996 hivi sasa September, kwa bei hiyo na linapiga mzigo vizuri tu, nakata safari za mikoani bila wasiwasi, wese tu ndio mtaji wa kuliendesha. Cha msingi akague na kujiridhisha na history ya gari na jinsi lilivyotumika kabla ya yeye kuuziwa.Gari M4 kwasasa kweli unatafuta undugu na mafundi garage ila yapo mazuri pia chamuhimu kabla hujanunua lichunguze kwanza
Ongeza milioni moja nikupe RAUM Kali sanaWadau naomba msaada wenu Mimi hapa nilipo Nina milioni 4 je ninaweza kupata gari nzuri ya kutembelea
Unapata tu, sio kila gari la bei ndogo ni bovu.Wadau naomba msaada wenu Mimi hapa nilipo Nina milioni 4 je ninaweza kupata gari nzuri ya kutembelea
Ongeza milioni moja nikupe RAUM Kali sana
kwa m 4?
Wewe lazima utakua ni mmoja kati ya wale wa nnenunua bodaboda mbili moja endesha wewe nyingine aiendeshe mkeo jioni fungeni hesabu baada ya miezi sita uzeni pikipiki zenu mnanunua gari zuri kabisa
Anatania huyo. Hata kama gear box mbovu si hiyo beikwa m 4?
Huyo aliyepost hiyo noah Nyeusi atakuwa anatania hiyo noah ilikuwa yangu na nimeiuza ml 10.5. Na hizo picha nilipost mimi humu wakati naiuza gari ikiwa yard kwangu