Nahitaji gari hiyo iliyo kwenye hali nzuri, I prefer dark blue or black in colour. Tafadhali isiwe ilishawahi kubeba abiria kama zile za mbezi_ kkoo.
Iwe imesimama kweli kweli bei hatutashindwana gari ikiwa nzuri.
Kama unayo njoo inbox tufanye yetu.
Angalizo: biashara iwe halali usije ukajiingiza pabaya bure. Sitaki ubabaishaji.