ngosha2011
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 681
- 87
Natafuta Gari scania iwe katika hali nzuri,mwenye nayo aje pm au aweke bei yake hapa
Duh, ungejaribu kua more specific, scania ipi unataka?, 84,111,113,360,420?,maana scania zipo aina nyingi sana aiseeNatafuta Gari scania iwe katika hali nzuri,mwenye nayo aje pm au aweke bei yake hapa
Nimeku-*pm*Duh, ungejaribu kua more specific, scania ipi unataka?, 84,111,113,360,420?,maana scania zipo aina nyingi sana aisee