Toyota brebis, altezza na x trail sidhani kwa bei hiyo kama utapataNATAFUTA GARI — BAJETI MIL. 5.
Habari zenu wakuu,
Natafuta gari nzuri isiyo na matatizo yoyote ya kiufundi wala kisheria. Bajeti yangu ni hadi TSh 5,000,000.00.
Ningependa gari aina zifuatazo (kipaumbele):
- Toyota Brevis
- Toyota Altezza
- Nissan X-Trail
Gari iwe katika hali nzuri ya matumizi, iwe imepitia service vizuri, na iwe na nyaraka zote muhimu.
Kama unayo au unamfahamu mtu mwenye gari inayolingana na maelezo haya, tafadhali niPM.
Atapata lakini ajiandae kisaikolojia!Toyota brebis, altezza na x trail sidhani kwa bei hiyo kama utapata
Ahsante🙏
awe na fundi wake kabisa ambae mda wowote atakuwa availableAtapata lakini ajiandae kisaikolojia!
Yaani ndinga mpya milioni 25-30+ halafu yeye anataka kwa 5m duuuhAtapata lakini ajiandae kisaikolojia!
hayo ndo magali anaweza kwa kupata kwa bei yani bajeti safi kabisa tena watamkimbilia brevis mil 5 chap tu yaniToyota brebis, altezza na x trail sidhani kwa bei hiyo kama utapata
Ahsante🙏
Aiseeee basi sawa akipata asisahau kutoa mrejeshohayo ndo magali anaweza kwa kupata kwa bei yani bajeti safi kabisa tena watamkimbilia brevis mil 5 chap tu yani
Wenzako wananunua gari mbovu wanazirekebisha wanauza!Yaani ndinga mpya milioni 25-30+ halafu yeye anataka kwa 5m duuuh
Duuuuh aiseee basi akipata asisahau kuleta mrejeshoWenzako wananunua gari mbovu wanazirekebisha wanauza!
Sio akipata mwenyewe nilishafanya hii biashara na mtu kitambo, wewe ndio hujui tuDuuuuh aiseee basi akipata asisahau kuleta mrejesho
🐓Daaah basi ni kila la kheri kwakeee ajipatie brevis na xtrail ya bei cheee🙌🙌Sio akipata mwenyewe nilishafanya hii biashara na mtu kitambo, wewe ndio hujui tu
Brevis au alteza anapata fresh tuToyota brebis, altezza na x trail sidhani kwa bei hiyo kama utapata
Ahsante🙏
Hujaelewa wapi? Ananunua gari ambazo lazima zina changamoto zikirekebishwa vizuri anauziwa mwingine akapambane huko! Unafkiri kila mtu barabarani kaagiza gari ya mil25 sio?🐓Daaah basi ni kila la kheri kwakeee ajipatie brevis na xtrail ya bei cheee🙌🙌